Kikhana
Mandhari
Kikhana ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakhana. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikhana imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhana iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikhana kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhana Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikhana katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ogo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |