Nenda kwa yaliyomo

Kikenga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikenga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakenga. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kikenga imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikenga iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikenga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.