Kikendayan
Mandhari
Kikendayan (pia Kisalako) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wakendayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikendayan nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 321,000. Idadi ya wasemaji wa Kikendayan nchini Malaysia ambapo hasa huitwa Kisalako ni 10,700 (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikendayan iko katika kundi la Kimalayiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikendayan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikendayan Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikendayan katika Glottolog
- lugha ya Kikendayan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikendayan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |