Kikemezung
Mandhari
Kikemezung ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakemezung. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikemezung imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikemezung iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikemezung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikemezung Archived 7 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikemezung katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dmo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikemezung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |