Kikatla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikatla ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wakatla. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikatla imehesabiwa kuwa watu 14,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikatla iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikatla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.