Nenda kwa yaliyomo

Kikaranga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaranga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakaranga. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikaranga imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaranga iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaranga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.