Kikapya
Mandhari
Kikapya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakapya. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikapya imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikapya iko katika kundi la Kijukunoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikapya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikapya Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikapya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/klo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikapya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |