Kikanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kikanga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakanga. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikanga imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanga iko katika kundi la Kikadugli-Krongo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.