Kikamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikamu kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Wakamu katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamu kiko katika kundi la Kimalagmalag.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.