Kikalkoti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikalkoti ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakalkoti. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikalkoti imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikalkoti iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalkoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.