Kikaliko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaliko (pia Kikeliko) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakaliko. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikaliko nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 7,500 nchini Kongo na 5,000 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaliko iko katika kundi la Kimoru-Madi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaliko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.