Nenda kwa yaliyomo

Kikalami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikalami ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakalami. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikalami imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikalami iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.