Kikaivi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaivi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakaivi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikaivi imehesabiwa kuwa watu 2320. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaivi iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaivi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.