Kikagate

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikagate ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakagate. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikagate imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikagate iko katika kundi la Kibodish. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kisherpa ya Helambu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikagate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.