Kikadaru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikadaru ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakadaru. Idadi ya wasemaji wa Kikadaru imehesabiwa kuwa watu 7000 lakini wengi wao wameanza kusahau lugha yao kwa hiyo Kikadari iko hatarini mwa kutoweka.. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikadaru iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikadaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.