Kikabola
Mandhari
Kikabola ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakabola. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikabola imehesabiwa kuwa watu 3900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabola iko katika kundi la Kialor.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikabola kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikabola Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikabola katika Glottolog
- lugha ya Kikabola kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikabola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |