Nenda kwa yaliyomo

Kikabiye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikabiye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Wakabiye. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikabiye nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Benin, na wengine nchini Ghana upande wa Kaskazini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabiye iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikabiye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.