Kijumjum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijumjum ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wajumjum. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kimabaan. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kijumjum imehesabiwa kuwa watu 25,000, yaani nchini Sudan na Sudan Kusini pamoja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijumjum iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijumjum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.