Kijju
Mandhari
Kijju ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajju. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kijju imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijju iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kijju kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijju Archived 8 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijju katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kaj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |