Kijiamao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijiamao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wajiamao kisiwani kwa Hainan. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kijiamao imehesabiwa kuwa watu 52,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijiamao iko katika kundi la Kihlai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijiamao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.