Kihlai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihlai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wahlai kisiwani kwa Hainan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kihlai imehesabiwa kuwa watu 667,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihlai iko katika kundi lake lenyewe la Kihlai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihlai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.