Kijere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajere. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kijere imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijere iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.