Nenda kwa yaliyomo

Kijandavra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kijandavra ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wajandavra. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kijandavra imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijandavra iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijandavra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.