Kiizere
Mandhari
Kiizere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waizere. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiizere imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiizere iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiizere kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiizere Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiizere katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/izr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiizere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |