Kiiyive
Mandhari
Kiiyive ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waiyive. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiiyive nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 1000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiyive iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiiyive kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiyive Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiiyive katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/uiv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiiyive kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |