Kiiu-Mien
Mandhari
Kiiu-Mien ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Uchina, Uthai na Laos inayozungumzwa na Wamien. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiiu-Mien imehesabiwa kuwa watu 350,000 nchini Vietnam na 40,000 nchini Uthai. Pia kuna wasemaji 383,000 nchini Uchina (1995) na 20,300 nchini Laos (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiiu-Mien iko katika kundi la Kimian-Jin.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiiu-Mien kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiu-Mien Ilihifadhiwa 29 Novemba 2020 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiiu-Mien katika Glottolog
- lugha ya Kiiu-Mien kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiiu-Mien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |