Kiitu-Mbon-Uzo
Mandhari
Kiitu-Mbon-Uzo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waitu-Mbon. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiitu-Mbon-Uzo imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiitu-Mbon-Uzo iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiitu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiitu Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiitu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/itm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiitu-Mbon-Uzo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |