Nenda kwa yaliyomo

Kiisoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiisoko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waisoko. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiisoko imehesabiwa kuwa watu 423,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisoko iko katika kundi la Kiedoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisoko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.