Kiipulo
Mandhari
Kiipulo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waipulo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiipulo imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiipulo iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiipulo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiipulo Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiipulo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ass
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiipulo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |