Kiikwere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiikwere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waikwere. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiikwere imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiikwere iko katika kundi la Kiigboidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiikwere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.