Kiikulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiikulu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waikulu. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiikulu imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiikulu iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiikulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.