Kiika
Mandhari
Kiika ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waika. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiika imehesabiwa kuwa watu 22,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiika iko katika kundi la Kiigboidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiika kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiika Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiika katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ikk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |