Kiijo-Mashariki
Mandhari
Kiijo-Mashariki (pia Kinembe) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanembe na Waakassa. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiijo-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 71,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiijo-Mashariki iko katika kundi la Kiijoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiijo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiijo Ilihifadhiwa 19 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiijo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ijs
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiijo-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |