Kiigala
Mandhari
Kiigala ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waigala. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiigala imehesabiwa kuwa watu 800,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiigala iko katika kundi la Kidefoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiigala kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiigala Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiigala katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/igl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiigala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |