Kiidon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiidon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waidon. Idadi ya wasemaji wa Kiidon imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiidon iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiidon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.