Kiidoma
Mandhari
Kiidoma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waidoma. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiidoma imehesabiwa kuwa watu 600,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiidoma iko katika kundi la Kiidomoidi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiidoma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiidoma Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiidoma katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/idu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiidoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |