Kiibino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiibino ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waibino. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiibino imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiibino iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiibino kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.