Kiibibio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiibibio

Kiibibio ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waibibio. Lugha ya Kiibibio hutumiwa kama lugha ya kibiashara katika Jimbo la Akwa Ibom ambapo hata chuo kikuu hutoa masomo ya Kiibibio. Idadi ya wasemaji wa Kiibibio haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiibibio iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiibibio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.