Kiiau
Mandhari
Kiiau ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waiau. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiiau imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiiau iko katika kundi la “Lakes Plain”.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiiau kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiau Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiiau katika Glottolog
- lugha ya Kiiau kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiiau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |