Kihasha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihasha ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahasha. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kihasha imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihasha iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihasha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.