Kigwa (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagwa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigwa imehesabiwa kuwa watu 980. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigwa iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigwa (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.