Kigresi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigresi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wagresi. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kigresi imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigresi iko katika kundi la Kinimboran.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigresi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.