Kigrebo-Kusini
Mandhari
Kigrebo-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wagrebo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigrebo-Kusini nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 61,600. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire ambao hasa ni wakimbiaji kutoka vita vya Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigrebo-Kusini iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigrebo-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigrebo-Kusini Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigrebo-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/grj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigrebo-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |