Kigoundo
Mandhari
Kigoundo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wagoundo. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kigoundo imehesabiwa kuwa watu 30 tu. Kwa hiyo, lugha hiyo imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigoundo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigoundo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigoundo Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigoundo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/goy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigoundo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |