Kigola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigola ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Sierra Leone inayozungumzwa na Wagola. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigola nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 99,300. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigola iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.