Kigokana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigokana ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagokana. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kigokana imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigokana iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigokana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.