Kiglaro-Twabo
Mandhari
Kiglaro-Twabo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Waglaro na Watwabo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiglaro-Twabo nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 4270. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire; idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiglaro-Twabo iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiglaro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiglaro Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiglaro katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/glr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiglaro-Twabo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |