Kigimme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigimme ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wagimme. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kigimme imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigimme iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigimme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.