Kigezo:Uainishaji
Mandhari
| {{{jina}}} |
|---|
| Uainishaji wa kisayansi |
|
|
Ukitaka kutumia sanduku hili unakili maandishi jinsi inavyoonekana ndani ya mstari uliovunjika na fuata maelezo:
- Nakili maandishi hapo chini
- Uyaweke yote mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
- Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
- Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
- Kwa picha fuata maelezo katika mabano ya >> << na FUTA MAELEZO HAYA YOTE baada ya alama ya =
- kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
- Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni. Usifute mstari.
{{Uainishaji
| rangi =
| jina =
| picha = >>ANDIKA JINA LA PICHA KAMA "Ndege.jpg" (AU: "Ndege.png" N.K.) BILA SEHEMU YA "Image:"<<
| upana wa picha = 200px
| maelezo_ya_picha =
| domeni =
| himaya =
| nusuhimaya =
| ngeli =
| oda_ya_juu =
| oda =
| oda_ya_chini =
| familia_ya_juu =
| familia =
| nusufamilia =
| jenasi =
| spishi =
| nususpishi =
| subdivision =
}}
Kwa kurahisisha kazi ya kutumia templeti za Kiingereza hapo ni orodha ya majina ya uainishaji kwa Kilatini/Kigiriki yanayotumiwa pia kwa Kiingereza:
- Himaya = regnum
- Nusuhimaya = subregnum
- Faila = phylum
- Nusufaila = subphylum
- ngeli = classis
- nusungeli = subclassis
- oda = ordo
- nusu oda = subordo
- familia = familia
- nusu familia = subfamily
- jenera = genus
- spishi = species