Kigezo:Uainishaji/hati
Mandhari
Ukitaka kutumia sanduku hili unakili maandishi jinsi inavyoonekana ndani ya mstari uliovunjika na fuata maelezo:
- Nakili maandishi hapo chini
- Uyaweke yote mwanzo wa makala kabla ya kila andishi.
- Baada ya alama ya = andika yale unayotaka.
- Pale usipoandika haionyeshi mstari wote.
- Kwa picha fuata maelezo katika mabano ya >> << na FUTA MAELEZO HAYA YOTE baada ya alama ya =
- kwa rangi tumia majina jinsi yalivyo katika orodha ya rangi hili.
- Usisahau mabano aina ya { na } mwanzo na mwishoni. Usifute mstari.
{{Uainishaji | rangi = | jina = | picha = >>ANDIKA JINA LA PICHA KAMA "Ndege.jpg" (AU: "Ndege.png" N.K.) BILA SEHEMU YA "Image:"<< | upana wa picha = 200px | maelezo_ya_picha = | domeni = | himaya = | nusuhimaya = | ngeli = | oda_ya_juu = | oda = | oda_ya_chini = | familia_ya_juu = | familia = | nusufamilia = | jenasi = | spishi = | nususpishi = | subdivision = }}
Kwa kurahisisha kazi ya kutumia templeti za Kiingereza hapo ni orodha ya majina ya uainishaji kwa Kilatini/Kigiriki yanayotumiwa pia kwa Kiingereza:
- Himaya = regnum
- Nusuhimaya = subregnum
- Faila = phylum
- Nusufaila = subphylum
- ngeli = classis
- nusungeli = subclassis
- oda = ordo
- nusu oda = subordo
- familia = familia
- nusu familia = subfamily
- jenera = genus
- spishi = species